Thursday, August 28, 2014

TAARIFA YA MSIBA



TAARIFA YA MSIBA
Ndugu Timothy Kulewa wa Manchester Uingereza, anasikitika kutangaza kifo cha Mke wake Maryam Nassoro Jaffuru kilichotokea juzi 26/08/2014 kwa Ajali ya gari Morogoro akitoken safarini mwanza. Mazishi yanafanyika kesho Ijumaa 29/08/2014 saa Tisa alasiri katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam, Baada ya Misa itakayofanyika Kanisa la kilutheri Mbezi Beach ( Tangi Bovu) saa Saba mchana.

Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake lihidimiwe.