Friday, August 29, 2014

PSPF YAANDAA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE




PSPF YAANDAA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa watumishi wa serikali na taasisi zake iliyofanyika jana Agosti 29, 2014 mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani.
 Constatina Martin Meneja Masoko, na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Constatina Martin, akizungumza kwenye semina ya siku moja ya watumishi wa serikali na taasisi zake iliyoandaliwa na Mduko huo mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani, Ijumaa Agosti 29, 2014.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Utumishi, George Yambesi(Wanne kulia waliokaa), na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Wanne kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa waandamizi wa Mfuko huo na wafanyakazi wa serikali na taasisi zake, wanaohudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo ili kuelezea huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa PSPFT.
 Mwanaasemina akipitia utaratibu wa semina ya siku moja ya watumishi wa serikali na taasisi zake iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani, Agosti 29, 2014.
 Constatina_Kuwite_Muro Mkurugenzi wa Operesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Neema Muro, (Kulia), Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko huo, Constatina Martin ,Katikati) na Meneja Utawala, Neema Kuwite, wakibadilishana mawazo muda mfupi kabla ya mkuanza semina ya siku moja kwa watumishi wa serikali na taasisi zake iliyoandaliwa na Mfuko huo mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani Ijumaa Agosti 29, 2014
 Constantina_Mayingu_Yambesi Meneja Masoko, na Mawasiliano, wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Constatina Martin, (Kushoto), akiwaongoza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Utumishi, George Yambesi, (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Adam Mayingu, kuelekea ukumnbi wa semina ya watumishi wa serikali na taasisi zake mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani, Ijumaa Agosti 29, 2014.


 Mayingu_Yambesi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi, George Yambesi, (Kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, wakati akiwasili kufungua semina ya siku moja ya watumishi wa serikali na taasisi zake mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani Ijumaa Agosti 29, 2014.