Waziri Mkuu. Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu , Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Jumanne Sajini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro August 17, 2014 na atafungua Mkutano wa Wadau wa barabara wa Serikali za Mitaa kwenye hoteli ya Ngurdoto Arusha August 18, 2014. Katikati ni Waziri wa TAMISEMI , Hawa Ghasia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)