Wakazi wa Manispaa ya Iringa walijitokeza kwa wingi katika mto Ruaha mdogo kushuhudia mwili wa kijana wa jinsia ya kiume ukiwa umelazwa chini baada ya kuopolewa kwenye maji na Jeshi la Zima moto
na Uokoaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoani hapa mwili ukiwa umeharibika vibaya jana.