Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji kwa kunywa maji ya mto kwa majani ya mgomba maji ambayo wapiga kura wake wa kijiji cha Madindo Mlangali wamekuwa wakiyatumia. Mbunge huyo mbali ya kuzindua pia alitoa msaada wa matenki makubwa ya maji mawili na vifaa mbali mbali juzi.(picha na Francis GodwinBlog)