Sunday, August 03, 2014

KUTOKA CHADEMA:RATIBA YA UCHAGUZI KWENYE CHAMA NA MABARAZA - CHADEMA


KUTOKA CHADEMA:RATIBA YA UCHAGUZI KWENYE CHAMA NA MABARAZA - CHADEMA
RATIBA YA UCHAGUZI KWENYE CHAMA NA MABARAZA.
 
06 SEPT-BARAZA LA WAZEE.
10 SEPT-BARAZA LA VIJANA.
11 SEPT-BAWACHA.
 
12 SEPT-KAMATI KUU YA CHAMA YA ZAMANI.
13 SEPT-BARAZA KUU JIPYA.
 
14 SEPT-MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA MWENYEKITI,MAKAMU WA BARA NA ZANZIBAR.
 
15 SEPT-BARAZA KUU JIPYA.
16 SEPT-KAMATI KUUPYA.
WOTE MNA WAJIBU WA KUGOMBEA NAFASI ZOTE WAKE KWA WAUME .KWA KUZINGATIA KATIBA ,KANUNI NA MIONGOZO YA CHAMA.
 
FOMU ZA UONGOZI ZIMEANDIKWA KIASI USIKUBALI KULIPA KIASI ZAIDI YA KILICHOONYESHWA JUU YA FOMU.KAMA KUNA USUMBUFU WO WOTE TAFADHARI TOA TAARIFA HARAKA KWA MAMLAKA YA JUU YA NGAZI INAYOTOA USUMBUFU WA AINA YOYOYTE.