Thursday, July 03, 2014

TANZIA



TANZIA

Familia ya Mzee Constantine Andrea Lupilya inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa(Constantine A.Lupilya)  kilichotokea katika hospital ya Bugando jijini Mwanza  usiku wa kuamkia jana. 

Tarehe ya kifo. 1.7.2014 Kuzikwa ni alhamisi 3.7.2014 Mazishi yanafanyika  Nyakato Mhandu Kakebe. Kwa niaba ya familia Emmanuel Constantine Lupilya. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. 

Amin