Taarifa ya Habari Kutoka ITV: Mamlaka ya mawasiliano TCRA imetoa leseni kumi kwa makampuni ya utangazaji ambapo ITV na East Afrika Televisheni ni miongoni mwa vituo ambavyo vimepata leseni hiyo.