Monday, July 28, 2014

Picha na Taarifa Rasmi:Mgombea Urais Tucta Aelezea Mafao na Suala la Waajiriwa Wapya wa Uhamiaji

Picha na Taarifa Rasmi:Mgombea Urais Tucta Aelezea Mafao na Suala la Waajiriwa Wapya wa Uhamiaji

Mgombea Urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi, Dismas Lyassa akitangaza vipaumbele katika mahojiano na waandishi wa habari.

 Dismas Lyassa
Mgombea Urais Tucta
0712 183282