Wednesday, July 30, 2014

MWENGE WA UHURU WAWASILI ZANZIBAR KUTOKEA DAR ES SALAM NA KUKABIDHIWA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI.



MWENGE WA UHURU WAWASILI ZANZIBAR KUTOKEA DAR ES SALAM NA KUKABIDHIWA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Said Meck Sadikiakimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdallah Mwinyi Khamis, makabidhiano hayo yamefanyika uwanja wa ndege mkongwe Kiembesamaki leo.
 Vijana wa Chipkizi wakiimba nyimbo ya Mwenge.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame akishika mwenge wa Uhuru ulipowasili Zanzibar.
 Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Hamza Ibrahim kutoka Mjini Magharibi na maaskari wakiukimbiza Mwenge.

  Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Hasan Mussa Takrima kwa ajili ya kuukimbiza katika Wilaya yake.
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Getrudi Mpaka akitoa salam za Mkoa huo kabla ya kuukabizi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Mjini Magharibi leo. Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar.