Tuesday, July 08, 2014

MTOTO WA MFALME WA JAPANI PRINCE AKISHINO NA MKEWE WAZURU HIFADHI YA NGORONGORO



MTOTO WA MFALME WA JAPANI PRINCE AKISHINO NA MKEWE WAZURU HIFADHI YA NGORONGORO
 Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito Akishino na mkewe Kiko, wakifurahia ngoma za makabila la Wadatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai, katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro, pamoja nao wapo pia maafisa wa mamlaka hiyo, Bruno Kawasange na Adam Akyoo pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu, Felix Daudi Ntibenda.
 wakiwa wanafurahia ngoma za wamasai pamoja na wabarabaigi.
 Katika picha nyingine Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo kuhusu shughuli za uhifadhi ndani ya mamlaka hiyo katika kutuo cha habari cha Loduare Gate.