Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama asali kutoka Ilagala, Kigoma wakati alipotembelea banda la Asali kwenye maonyesho ya Biashara ya Kiataifa yanayoendelea kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam Jumlai 2, 2014. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Bishara, Dr.Abdallah Kigoda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama asali kutoka Ilagala, Kigoma wakati alipotembelea banda la Asali kwenye maonyesho ya Biashara ya Kiataifa yanayoendelea kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam Julai 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)