Wednesday, July 02, 2014

Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania ajiua kwa risasi



NEWS ALERT: Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania ajiua kwa risasi
 Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania,Ndg. Ismail Nwairat amefikwa na mauti baada ya kujifungia ofisini kwake na kujifyatulia risasi kifuani.tukio hilo lilitokea jana jioni na chanzo chake bado hakijafahamika mpaka sasa.

Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje,imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.