Saturday, July 12, 2014

Lowassa akagua ujenzi wa hospital Monduli




Lowassa akagua ujenzi wa hospital Monduli
 
Mhandisi msaidizi Paul Kisesa  akieleza jambo kwa Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wakati alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa
 Mh Edward Lowassa akiendelea kufanya ukaguzi alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa mhandisi msaidizi Paul Kisesa wakati alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa.