Saturday, July 05, 2014

Kumbukumbu ya marehemu Lucy F. Njeama


Kumbukumbu ya marehemu Lucy F. Njeama
Mpendwa wetu LUCY FIDELIS NJEAMA, Leo yapata miaka mitatu tangu siku ulipotutoka,lakini yaonekana kama ni Jana tu kwa jinsi ulivyotushiba. Unakumbukwa sana na mume wako, wanao Glory, Glady na Gallya, wazazi wako,dada na kaka zako na ndugu na Jamaa wote waliokupenda. Daima utabakia mioyoni mwetu tukikukumbuka kwa sala na maombi. Twamuomba Mungu akupokee katika ufalme wake, 
AMEN.