Thursday, July 17, 2014

HABARI NJEMA: KIJANA IBRAHIM SAID ALIYEKUWA ANATAFUTWA NA NDUGUZE APATIKANA



HABARI NJEMA: KIJANA IBRAHIM SAID ALIYEKUWA ANATAFUTWA NA NDUGUZE APATIKANA
KIJANA IBRAHIM SAID (20) AMBAYE ALIKUWA ANATAFUTWA NA NDUGUZE AMEPATIKANA LEO MAENEO YA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM AKIWA SALAMA SALIMIN.

IBRAHIM, AMBAYE NI MKOMORO NA HAJUI KUONGEA KISWAHILI, 
NA MWANAFUNZI  WA ZOOM POLYTECHNIC COLLEGE, DAR
ALITOWEKA NYUMBANI WIKI ILIYOPITA

NDUGU WA IBRAHIM WANATOA SHUKRANI KWA WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA KIJANA WAO.