Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Suzan Kaganda leo tarehe 01/06/2014 ametoa T-shirts mia moja kwa vikundi vya ulinzi shirikishi wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora.
Baadhi ya wawakilishi wa kikundi cha ulinzi shirikishi
wilayani Kaliua wakionesha T-shirts walizopewa na RPC Tabora
kamanda wa polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akitoa T-shirts kwa kikundi cha ulinzi shirikishi wilayani Kaliua


