Toka nje: Kostas Katsouranis (katikati) alioneshwa kadi nyekundu baada ya kupata kadi mbili za njano dhidi ya Japan.
WAKATI Luis Suarez akiwafanyia kitu mbaya England jana, mchezo mwingine wa kundi C baina ya Japan na Ugiriki ulimalizika kwa suluhu pacha ya bila kufungana.
Kama ilivyokuwa kwa Uruguay na England, timu hizi mbili ziliingia katika raundi ya pili ya mechi za makundi zikiwa na kumbukumbu ya kupoteza mechi za ufunguzi.
Lakini kwa Uruguay mambo yalienda vizuri kufuatia Suarez kufanya kazi nzuri katika mchezo wa jana usiku akifunga mabao 2 katika ushindi wa 2-1.
Matokeo hayo ni mazuri kwa Tembo wa Pwani ya Magharibi mwa Afrika, timu ya taifa ya Ivory Coast, lakini lazima washinde mechi ya mwisho kama wanataka kusonga hatua ya 16.Hapa chini ni vikosi vya timu zote mbili na viwnago vya wachezaji. Alama ni chini ya 10.
Kikosi cha Japan: Kawashima 6.5, Uchida 6, Konno 6, Yoshida 6, Nagatomo 6, Yamaguchi 6, Hasebe 5 (Endo 46min, 6.5) Okazaki 6.5, Honda 5.5, Okubo 5, Osako 6 (Kagawa 57, 6)
Wachezaji wa akiba: Nishikawa, Gotoku Sakai, Morishige, Kiyotake, Kagawa, Kakitani, Aoyama, Inoha, Saito, Hiroki Sakai, Gonda
Kadi ya njano: Hasebe
Kikosi cha Ugiriki: Karnezis 7, Torosidis 6.5, Papastathopoulos 6, Manolas 6, Holebas 6, Maniatis 6, Katsouranis 4, Kone 6.5 (Salpingidis 81), Fetfatzidis 5.5 (Karagounis 41, 6), Mitroglou 5 (Gekas 35, 5), Samaras 5.5
Wachezaji wa akiba: Glykos, Tzavelas, Moras, Tziolis, , Vyntra, Salpingidis, Christodoulopoulos, Samaris, Tachtsidis, Kapino
Kadi ya njano: Katsouranis, Samaras, Torosidis
Kadi nyekundu: Katsouranis
Mwamuzi: Joel Aguilar (Slovakia)

Anamtua chini: Katsouranis (kushoto) akimuangusha mchezaji wa Japan, Makoto Hasebe
Siwezi kuamini! Katsouranis akilaumu baada ya kuoneshwa kadi nyekundu
Anashangaa: Katsouranis (Namba 21) akitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi kiungo wa Japan, Makoto Hasebe