Benoit Assou-Ekotto akimtwanga 'ndoo'                  Moukandjo.
                           
                                        
        Samuel Eto'o akimtuliza Ekotto                  aliyepandisha hasira baada ya kichapo cha 4-0.
        BEKI wa Cameroon, Benoit Assou-Ekotto aliamua kumpiga            kichwa 'ndoo' mchezaji mwenzake Benjamin Moukandjo kufuatia            kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Croatia.
        Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo wakati wa            mechi ya Kombe la Dunia 2014 kati ya Cameroon na Croatia.
        Katika            mpambano huo Cameroon waliambulia kichapo cha mabao 4-0 na            kuyaaga mashindano hayo baada ya kupoteza pia mechi yao ya            kwanza dhidi ya Mexico kwa bao 1-0.
         
