WATU wawili akiwemo dereva bodaboda na abiria wake mwanamke walijikuta wakinusurika kifo baada ya lori la mafuta lililokuwa mbele yao kuigonga na kulikanyaga tairi la mbele ya pikipiki hiyo wakati ikitaka kuingia katika kituo cha mafuta cha GBP Sinza-Mori mchana wa leo.
Watu hao wawili walitupwa chini na dereva wa bodaboda kupata michubuko kwenye mguu na mkono.
Watu hao wawili walitupwa chini na dereva wa bodaboda kupata michubuko kwenye mguu na mkono.
Na Gabriel Ng'osha/GPL