Wednesday, May 14, 2014

Waziri Fenella Mukangara akutana na Mmiliki wa Startimes

 
 
 

Star1
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kushoto) akielezea jambo kwa Mmiliku wa Startimes Bw. I MR. Pang alipotembelea ofini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.Star3.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (katikati) akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga wakati wa kikao chao na mmiliki wa Startime Bw.Pang (kushoto) alipotembelea ofoini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.Star4. (1)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akiwa katika kikao na mmiliki wa Kampuni ya Star Media Bw. Pang (wa pili kushoto) alipotembelea ofini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia kwa Waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa Startimes Bw. William Lan, Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Assah Mwambene na Mwakilishi wa Startimes nchini Bw. Jack Zhou.