Tuesday, May 27, 2014

NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU CHA RUNGEMBA, MAFINGA, IRINGA



NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU CHA RUNGEMBA, MAFINGA, IRINGA
CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA - USAJILI NA. TLF/011P- NAMBA YA KITUO CHA MITIHANI E.643.

1. MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA (SECONDARY) 'DIPLOMA IN SECONDARY' (DSEE) KWA MIAKA 2
Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha sita (v1) na ufaulu wa principal (1) subsidiary (1)
 
2. UALIMU DARAJA LA 111-A - NGAZI YA CHETI (CATCE) - KWA MIAKA 2.
Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne (1V) na ufaulu wa alama 26-27 (kwa mwaka 2004-2012) au alama 32-34 (kwa mwaka2013)
 
3. MAFUNZO YA UALIMU WA AWALI (ECDE)- KWA MWAKA 1.
sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu Daraja 1V ya alama 42
 
NB: wanafunzi wote watakaosomea mafunzo ya elimu ya awali; chuo kitawapa nafasi ya kurudia mitihani ya kidato cha nne ili waweze kwenda ngazi nyingine ya juu.
 
4. MAFUNZO YA QUALIFYING TEST (QT) MIAKA 2 YANATOLEWA CHUONI
 
5. CHUO PIA KINATOA MAFUNZO YA KKURUDIA MITIHANI( Kwa wale wote wanaohitaji)
 
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30 JUNE 2014
 
MAOMBI YATUMWE KWA MKUU WA CHUO
SLP 71051 DAR ES SALAAM
 
KWA MAWASILIANO ZAIDI
 
0753- 038338 Iringa
0763 - 818244 Dar es salaam
0769 - 879068 Dar es salaam
 
ASANTENI.