Friday, May 30, 2014

Mtaalamu wa tiba asilia toka Tanzania Dokta Mwaka Juma atembelea idhaa ya Kiswahili DW




Mtaalamu wa tiba asilia toka Tanzania Dokta Mwaka Juma atembelea idhaa ya Kiswahili DW
Mtaalamu wa tiba asilia toka Tanzania Dokta Mwaka Juma ametembelea Makao Makuu ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani (DW) jijini Bonn akiwa katika ziara ya mafunzo nchini Ujerumani na hasa kustawisha tiba mbadala kwa afya. Pamoja na DW anatembelea vyuo na taasisi mbalimbali za tiba.
 Dokta Mwaka Juma akiwa na mkuu wa Idhaa ya Kiswahili DW
 Dokta Mwaka Juma akisalimia na Abdul Mtullya
 Dokta Mwaka Juma akiwa na Josephat Charo
 Dokta Mwaka Juma akiwa na Samia Othman pamoja na Zainab Aziz
Mohamed Khelef wa DW na Dokta Mwaka Juma.