Tuesday, October 09, 2012

WAJUMBE WA KAMATI YA SHERIA YA BUNGE LA UJERUMANI WATEMBELEA TUME YA KATIBA



 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (wapilikulia) akizungumza na wajumbe wa kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani wakati walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo Dar es Salaam Kulia ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid na wapili kushoto ni Mkuu wa Msafara huo, Kauder.
 MwenyekitiwaTumeyaMabadilikoyaKatiba, Jaji Joseph Warioba (kulia) akibadilishana mawazo na Mkuu wa msafara wa wajumbe kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani, Kauder (kushoto) wakati ujumbe huo ulipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo Dar es Salaam.
Mwenyekitiwa TumeyaMabadiliko ya Katiba (watatukulia) akiagananawajumbewakamati ya Sheria ya Bungela Jamhuri ya Ujerumani mara baada ya kutembelea ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid.Picha Zote na Tume ya Katiba