SHUHUDIA MAAJABU YA CHEMCHEM YA MAJIMOTO ISIYOKAUKA ILIYOPO WILAYANI MLELE.
Pichani Juu na Chini ni Wakazi wa kijiji cha Majimoto wilayani Mlele wakiteka maji kwenye chemchem ya Majimoto ambayo hutoa maji ya moto yasiyopungua wingi hata wakati wa kiangazi. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).