Tuesday, October 09, 2012

Rufaa Ya CCM Sumbawanga Mjini Yatupwa


Rufaa iliyowasilishwa na aliyekuwa mbunge wa CCM Sumbawanga mjini kupinga kutenguliwa ubunge wake imetupiliwa mbali na mahakama leo hii.Hivyo,uchaguzi mdogo unanukia