Saturday, October 06, 2012

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Apokea na Kukagua Waya wa Baharini utakaotumika katika Mradi wa ulazaji waya wa pili wa Umeme kutoka Ras-Kiromoni Dar es Salaam hadi Ras-Fumba Zanzibar



 Waya  wa Baharini utakaotumika katika Mradi wa ulazaji waya wa pili wa Umeme kutoka Ras-Kiromoni Dar es Salaam hadi Ras-Fumba Zanzibar,wenye urefu wa 37 Kilomita, katika Bandari ya Malindi  ukiwa katika Meli ya Kampuni ya Viscas kutoka nchini Japan.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akisalimiana na Wahandisi wa Kampuni ya Viscas ya Ulazaji waya wa Umeme kutoka Nchini Japan,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja ,jana kupokea na  kuukagua waya huo wa Umeme ,utakaolazwa kwa siku Kumi na mbili kutoka Ras-Kiromoni Dar es Salaam hadi Ras-Fumba Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,  alipokuwa  akisalimiana na Msaidizi MtendajiMkuu wa MCA-T kwa upande wa Zanzibar, Bw,Ahmed Rashid,alipowasilikatika Bandari ya Malindi Mjini Unguja jana,kuupokea na kuukagua   wayahuo wa Umeme ,utakaolazwa kwa siku Kumi na mbili kutoka Ras-Kiromoni Dar es Salaam hadi Ras-Fumba Zanzibar
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, ( kushoto)  akifuatana na Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati,Ramadhan Abdalla Shaaban,alipofika katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja jana ,Kuupokea na Kuukagua Waya wa Baharini utakaotumika katika Mradi wa Ulazaji waya wa pili wa Umeme kutoka Ras-Kiromoni Dar es Salaam hadi Ras-Fumba Zanzibar,ukiwa katika Meli ya Kampuni ya Viscas kutoka nchini Japan.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar