Saturday, October 06, 2012

LIVE KUTOKA KANISA LA KASHOZI MAHADHIMISHO YA KUAMISHA MWILI WA MWADHAMA KARDINAL LAUREAN RUGAMBWA .



Anaonekana Baba Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini mara tu baada ya kukagua gari litakalo tumika kubebe mwili wa marehemu Kardinali Rugambwa
Muonekano wa gari litakalo ubeba mwili wa Marehemu Kardinali Rugambwa likiwa tayari limepambwa Maua.
 Mtangazaji wa kipindi cha dini, TBC katika kuwajibika
 Mzee Dioniz Malinzi akiteta jambo na Askofu Kilaini

Kwa hisani ya Bukobawadau Blog