Saturday, October 06, 2012

HII HATARI KULIKO : KIBAKA AIBA MFUNIKO UNAO HIFADHI VIUNGIO VYA MABOMBA YA MAJI SAFI NA TAKA YA MAMLAKA YA MAJI, YALIYOPO KATI KATI YA BARABARA KUU KWENDA ZAMBIA MBEYA! KWA MATUMIZI YA VYUMA CHAKAVU



Hili ndilo shimo ambalo lipo katikati ya barabara ambapo kibaka kaiba  mfuniko wake kwa ajili ya kwenda kuuza kama chuma chakavu
 Huyu ni mmoja ya wananchi ambaye anashuhudia shimo hilo ambalo ni hatari 



****************************************************
KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA USIKU WA JANA KUNA KIBAKA ALIJITOSA NA KUIBA MFUNIKO AMBAO UPO KATI KATI YA BARABARA ENEO LA MAFIATI, MFUNIKO HUO NI MOJA KATI YA MINGI INAYO HIFADHI MASHIMO YA MAMLAKA YA MAJI SAFI PAMOJA NA TAKA YA JIJINI MBEYA KWA KUHIFADHIA MABOMBA YANAYO PITA CHINI. 

MBEYA YETU IMESHUHUDIA SHIMO HILI NA KUWASIHI , MAMLAKA YA MAJI JIJINI MBEYA KWENDA KUFUNIKA TENA ILI KUEPUSHA AJALI


PICHA ZOTE NA: www.mbeyayetu.blogspot.com