Wednesday, October 10, 2012

Rais Kikwete amuapisha Mkuu Mpya wa Jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali John Casmir Minja


 
Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini ,Kamishna Jenerali  John Casmiri Minja akila kiapo mbele ya  Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.
 
Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja,akipokea miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro)