MCHEZA filamu mkali Bongo, Irene Uwoya au mama Krish, amepata pigo baada ya kufiwa na padre aliyewafungisha ndoa yeye na Hamad ‘Kataut’ Ndikumana katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam mwaka 2009.
Marehemu, mbali na kuwa padri pia alikuwa baba mkubwa wa Uwoya na katika utumishi wake wa kiroho alikuwa mkoani Kilimanjaro.