Friday, October 05, 2012

MASIKINI WAZIRI CHIKAWE ,ATENDWA VIBAYA NEC , DC MNALI ALIYEWACHAPA BAKORA WALIMU ASHINDA



Operesheni safisha CCM yaendelea baada ya  vigogo wengi  kutupwa nje panga  hilo lamkuta Waziri wa Sheria na Katiba Mathias Chikawe (pichani)ambaye pia amegaragazwa  vibaya nafasi ya NEC CCM wilaya ya Nachingwea  pamoja na  Mwenyekiti 

 Mwandishi  wetu Abdulaziz Video anaripoti  kuwa ,Hata  hivyo .MNEC alieshinda Fadhil azimia na kukimbizwa hospital kwa matibabu baada ya  kutoamini kilichotokea kwa kumshinda  waziri  huyo.

Mbali na Fadhil kushinda  pia  Mzee wa viboko,Mkuu wa wilaya Mstaafu Bw Mnali akishinda kiti cha Uenyekiti wa wilaya

Matokeo ya uchaguzi huo ni kama hivi  NEC alipata  kura 749 na Chikawe kura 503 huku Mnali
akipata kura 948 na Ndg Kamlo mwenyekiti alieangushwa akiambulia kura