Mkuu wa mkoa Mbeya ambaye pia ni mwenyetiki wa kikao hicho Abasi Kandoro akifungua kikao kikao cha kamati ya ushauri wa mkoa Mbeya |
Wajumbe wa kamati hiyo wakiwa makini kusikiliza |
Afisa habari wa ofisi ya mkuu wa mkoa mbeya Sara akiwa makini kwa nje kusikiliza hotuba ya mkuu wa mkoa Mbeya |
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Phillip Saliboko akizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao hicho
|