Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa kuleta dawa na vifaa tiba kutoka kwa wafanyabiashara wa uingizaji na usafirishaji wa madawa na vifaa tiba kutoka China wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano huo wa siku moja jijini Dar es Salaam Sept.19.2012
Makamu wa Rais wa chama cha wafanyabiashara wa Uingizaji na Usafirishaji wa dawa na vifaa tiba kutoka China (CCCMHPIE) Meng Dongping akizungumza Sept 18,2012 katka mkutano wa wafanyabiashara wa Uingizaji na Usafirishaji wa bidhaa hizo kutoka nchini China amesema Tanzania ni nchi ya 11 katika ushirikiano wa kibiashara wa bidhaa hizo barani Afrika na nchi ya pili kwenye soko la bidhaa hizo wa nchi za EAC. ambapo katika kipindi cha miezi 6 cha mwaka 2012 ukuaji wa soko la bidhaa hizo nchini Tanzania umefikia dola za Marekani milioni 32.61 sawa na asilimia 47
Makamu wa Rais wa chama cha Wafanyabiashara wa Uingizaji na Usafirishaji wa dawa na vifaa tiba kutoka China (CCCMHPIE) Meng Dongping (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa nchini (TDFA) Haiiti Sillo katika mkutano huo wa siku moja jijini Dar- es -Salaam (Sept.18,2012)
Mdau wa mkutano huo kutoka (MSD ) nchini, Cosmas Mwaifani akiwasilisha mada yake katika mkutano huo wa siku moja jijini Dar es Salaam, (Sept. 18,2012
Picha ya pamoja.
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.)