Friday, September 14, 2012

Uholanzi kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpanda



 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah(kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek (kulia) wakisaini makubaliano ya msaada kutoka Uholonzi wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpanda jana jijini Dar es salaam.
 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) jana jijini Dar es salaam wa mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusambaza  umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya mpango wa kusambaza umeme katika wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpando baada ya kusaini msaada na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wiaya hizo hasa maeneo ya vijijini.