Mgombea Uwakilishi kupitia Chama cha TEDEA Seif Salim Seif, akitowa sera za Chama chake katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya mpira Chagua Kijichi Bububu.
Katibu Mkuu wa Chama cha TADEA Ali Juma Ali akimnadi Mgombea wa Chama chake katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu Seif Salim Seif katika mkutano wao wa kampeni katika kiwanja cha ChaguaKijichi Bububu.
Mgombea Uwakilishi kupitia Chama cha TEDEA Seif Salim Seif, akitowa sera za Chama chake katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya mpira Chagua Kijichi Bububu.
Katibu Mkuu wa Chama cha TADEA Ali Juma Ali akimnadi Mgombea wa Chama chake katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu Seif Salim Seif katika mkutano wao wa kampeni katika kiwanja cha Chagua
Viongozi wa Chama cha TADEA, wakimsikiliza Mgomea wao katika mkutano wa kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu wakati wa mkutano wao wa kampeni katika viwanja vya Chagua Kijichi..