Manzese itakavyoonekana baada ya kukamilika kwa barabara ya mabasi yaendayo kasi
Swali ni je mazingira haya yataendelea kutunzwa na kuendelea kuonakana safi kama hivi?. Yetu macho na mabasi haya yataendeshwa na wazawa waliosomea VETA,NIT au wachina???