Saturday, September 15, 2012

Na Mpira umekwisha : Prisons 0 Yanga 0 .. Kilindi cha pili kilikuwa hivi!



 

 
 Hapa Nguvu zilikuwa sawasawa 
 

 

 
 Mashabiki kibao wanatazama mpira
 

 

 

 
 Mechi inaishia ishia hapa
 

 

 
 Na Mpira Umekwisha Shamla shamla kwa sana 
 
 Mashabiki kwa sana hapa wakiwa wanashangilia 
 
 Kocha wa Yanga haamini kama Mpira umekwisha 
 
 Polisi nao wapo wakihakikisha usalama 
 
Mwandishi wa habari akipansha tukio Live
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abas Kandoro akiongea na waandishi wa habari Mara baada ya mpira kwisha.

Tukio ndio limeishia hapa

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG