Msanii Janet Emmanuel wa kundi la The Great Zone Entertainment Mwanza katika pozi lake akipata flash mbele ya kamera yetu.
Hapa Janet akiwa na Msanii mwenzake wa kundi la The Great Zone Entertainment Aisha Hakeem ambaye leo alikuwa best wake.
Pozi la usingizi akitafakariii kituuu hapaaa.
Mdogo wake Janet alipata nafasi ya HAPPY BIRTH DAY TO YOU SISTER....
Pozi la waalikwaaaaa.
Hapa unakumbuka enzi ipiiiii...
Waimbaji hawa wakinogesha shughuli kama inavyoonekana pichaniiii.
Mtunza Hazina wa Kundi la The Great Zone Entertainment Alfred Jacob akionekana katika pozi lake hapa.
Muziki ambao umesababishwa na Dj unayemwona pichaniii..
Mwenyekiti wa Kundi la The Great Zone Entertainment Mwanza Ramadhan Mustapha na Msanii nguli wa kundi hilo Samiga Ghanai aka Star.
Wageni Waalikwaaa..
Ma Flowers ambao na rafiki zake Janet katika Pozi...
Upande wa Menu, Mhusika akionekana tayari kutoa huduma ya chakula....