Wednesday, September 19, 2012

MBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI SHY-ROSE BHANJI ACHANGIA MILIONI 2 TAMWA


 Mbunge wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akimkabidhi kiasi cha Shilingi milioni mbili, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini (TAMWA) Ananilea Nkya, ikiwa ni mchango wa mbunge huyo kwa TAMWA katika kuendeleza harakati zake nchini.
  Mbunge wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akionyesha kiasi cha Shilingi milioni mbili,kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini (TAMWA) Ananilea Nkya, ikiwa ni mchango wa mbunge huyo kwa TAMWA katika kuendeleza harakati zake nchini.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini (TAMWA) Ananilea Nkya, akimkaribisha Mbunge wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji katika Ofisi za TAMWA.