Mtibwa Sugar leo iliundwa na: Shaaban Hassan Kado, Malika Ndeule, Issa R Issa, Dickson Daudi, Salvatory Ntebe, Shaaban Nditi, Jamal Mnyate/Babu Seif Ally, Awadh Juma, Hussein Javu, Shaaban Kisiga ‘Malone’ na Vincent Barnabas/Ally Mohamed 'Gaucho'. (picha: BongoStaz blog)
JKT Ruvu 0-2 Simba SC
Mtibwa Sugar 3-0 Yanga SC
African Lyon 1-0 Polisi Moro
Ruvu Shooting 2-1 Mgambo JKT
Prisons 1-1 Coastal Union
Kagera Sugar 0-0 JKT Oljoro
Toto Africans 2-2 Azam FC
Mtibwa Sugar 3-0 Yanga SC
African Lyon 1-0 Polisi Moro
Ruvu Shooting 2-1 Mgambo JKT
Prisons 1-1 Coastal Union
Kagera Sugar 0-0 JKT Oljoro
Toto Africans 2-2 Azam FC
Yanga SC leo iliundwa na: Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, , Mbuyu Twite/Kavumbangu, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Athumani Iddi ‘Chuji’, Frank Domayo/Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Said Bahanuzi, Hamisi Kiiza na David Luhende/Stefano Mwasyika. (picha: BongoStaz blog)
Simba ambao walicheza mchezo kwa dakika nyingi baada ya mshambuliaji wao tegemeo Emmanuel Okwi kutolewa nje kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza cha mchezo, walipata mabao yao kutoka kwa kiungo Amri Kiemba aliyefunga bao la kwanza na Haruna Moshi Boban aliyepiga kidude cha pili. (picha: ShaffihDauda.com) Simba SC leo iliundwea na: Juma Kaseja, Nassor Masoud ‘Chollo’, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Juma Nyosso, Mwinyi Kazimoto, Amri Kiemba, Haruna Moshi ‘Boban’, Daniel Akuffo, Mrisho Ngassa na Emanuel Okwi. (Maelezo: BongoStaz blog)
MECHI ZIJAZO:
Septemba 22, 2012
Yanga SC Vs JKT Ruvu (Taifa, Dar es Salaam)
Azam FC Vs Mtibwa Sugar (Chamazi, Dar es Salaam)
JKT Oljoro Vs Polisi Morogoro (Amri Abeid, Arusha)
Coastal Union Vs Toto Africans (Mkwakwani, Tanga)
Septemba 23, 2012
Mgambo JKT Vs Kagera Sugar (Mkwakwani, Tanga)
Simba SC Vs Ruvu Shooting (Taifa, Dar es Salaam)
African Lyon Vs Prisons (Chamazi, Dar es Salaam)
Mabasi mawili ya kisasa ambayo yatakabidhiwa kwa Klabu za Simba na Yanga yakiwa yameegeshwa katika viwanja vya aofisi za Kampuni ya Bia Tanzania kabla hayajabandikwa nembo za Kilimanjaro Premium Lager na za klabu husika tayari kwa hafla ya makabidhiano Ijumaa TBL Ilala.