Thursday, September 20, 2012

Dkt. Mwele Malecela atunukiwa Tuzo ya Mapambano dhidi ya Magonjwa yasiyopewa kipaumbele



 
Dkt.  Mwele Malecela (pichani) ametunukiwa tuzo ya NTD Champion Award huko Washington Marekani kwa kazi yake  ya mapambano dhidi ya magonjwa yasiopewa kipaumbele. Dr Malecela alipewa tuzo hiyo katika hafla maalum iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo Maseneta na wawakilishi wa Congress. Sherehe hiyo maalum ilihudhuriwa pia  na mkuu wa USAID Dr Raj Shah. 
Akimtunkia tuzo hiyo Naibu Mkuu wa USAID anaeshughulikia Afya Dr Areil Pabloz-Mendez alisifia mchango mkubwa wa Dr Malecela kitaifa na kimataifa katika kupambana na magonjwa hayo. Wengine waliopewa tuzo ni Prof Ade Lucas wa Nigeria, Dr Amazigo wa Nigeria an Dr Birtwum wa Ghana.