Tuesday, September 18, 2012

MADIWANI WA KINONDONI WAANZA KIKAO KUJADILI MUSTAKABALI WA VIWANJA VYA WAZI.




 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda akifungua kikao cha kawaida cha madiwani wa manispaa hiyo ambacho hufanyika kila baada ya miezi mitatu kujadili maagizo yaliyopitishwa na madiwani hao, ambapo leo kimelenga kuzungumzia suala la viwanja vya wazi. Kushoto ni Songoro Mnyonge na kulia ni Fortunatus Fwema.
 
Diwani wa Ubungo Boniface Jacob akichangia mada wakati wa kikao hicho kilichoanza leo jijini Dar es Salaam.
 
Diwani wa Sinza Renatus Pamba akizungumza katika kikao hicho.
 
Diwani wa Kimara Paschal Manota akisisitiza jambo huku akionyesha makabrasha yanayohusika.
 
Diwani wa Hananasif Tarimba Abbas.
 
Baadhi ya madiwani wa manispaa ya Kinondoni wanaoshiriki kikao cha kawaida kinachofanyika kila baada ya miezi mitatu kujadili maazimio yaliyopishwa na madiwani katika kikao kilichopita ambapo katika hicho kitakachofanyika kwa siku mbili kubwa kuhusu suala la viwanja vya wazi.