Tuesday, September 25, 2012

Just in: Lori la mizigo lagonga daladala, Lahama Njia na Kupinduka


Hii imetokea Mbalizi Mbeya muda mchache ulio pita baada ya Lori la mizigo kugonga Hiace, kupotea njia na kuingia upande wa pili na kupinduka.
Lori hilo ambalo lilizidiwa spidi, Limepinduka na kujeruhi baadhi ya watu pamoja na abiria walio kuwepo katika basi hilo

PICHA NA MBEYA YETU BLOG