Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Arusha Mjini akihutubia umati wa wanachama
wa chama hicho katika viwanja vya Kilombero-karibu na Hospitali ya
Levolosi-Jijini Arusha.
Wananchi
wa jiji la Arusha wakiwasikiliza viongozi wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kwa umakini , katika viwanja vya Kilombero-karibu na
hospitali ya Levolosi-Jijini Arusha.
Wananchi
wa jiji la Arusha wakiwasikiliza viongozi wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA),akiwemo aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless
Lema, katika viwanja vya Kilombero-karibu na hospitali ya

wa jiji la Arusha wakifuatilia sera za viongozi wao wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) katika viwanja vya Kilombero-karibu na hospitali ya

Mbunge
wa zamani wa jimbo la Arusha mjini,Godbless Lema(katikati) akiwa na
wakili msomi katika kesi iliyomvua ubunge, Alute Mughai (kushoto) na
kulia kwake ni Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki ambaye pia ni wakili
katika kesi ya kupinga kuvuliwa madaraka yake ya ubunge wote wakiwa
katika msiba wa baba yake na Lissu aliyefariki hivi kaibuni jijini Dar
es salaam na kisha kuzikwa nyumbani kwao Singida.
Picha na Habari na Mdau Mzalendo Kutoka Arusha