Wednesday, September 26, 2012

CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA (TAWLA) CHAJADILI MATOKEO YA UTAFITI JUU YA MIGOGORO YA ARDHI INAYOWAKABILI WANAWAKE.




Jaji wa Mahakama Kuu Patricia Fikirini (kulia) akitoa maoni yake kuhusu mjadala kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifaodhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mstaafu Eusebia Munuo. 
Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) Aisha Bade (kulia) akitoa ufafanuzi  kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inayowakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mikoa wa Dare s salaam na Tanga chini ya ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Tarsua Kesoka.
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Kinondoni Charles Mnzava (kulia) akichangia mjadala kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inayowakabili wanawake. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilayani Ilala Raphael David. 
Baadhi ya wadau wakiwa na wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA) katika mkutano jijini Dar es salaam uliokuwa unajadili matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inayowakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti umefanyika katika Mikoa ya Dare s salaam na Tanga kwa ufadhili wa TAWLA. (Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam).