Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara katikati akitoa nasa kwa vijana.
Vijana wakimsikiliza Waziri wakati akitoa maada,
Vijana wakizungumza ya moyoni mbele ya Waziri,
Vijana wa kikorea wakionyesha utamaduni wao.
Waziri akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni wa kongamano hilo,
Plofesa wa chuo kikuu cha Dar es salaam akiagana ana waziri,
Akizungumza katika hitimisho la Kongamano hilo Waziri Penella alisema lengo kubwa ni kuunganisha vijana katika nguvu moja kifikra ili kuweza kujenga Taifa lenye vijana wenye muelekea.
Naye Katibu mkuu wa IYF Hun Mok Lee alisema vijana lazima wawe mfano kwa Taifa lao ni siyo kujihusisha na migomo , malalamiko kejeli na mambo mengine yasiyokuwa ya msingi.
Habari picha na Haroni Sanchawa