3:47 PM (3 hours ago)
|
| Askari wakibishana na mfanyabiashara juu ya uhalali wakufunga biashara zao wakati wa mikutano |
|
| Mgambo akipita duka hadi duka kulazimisha wafanyabiashara kufunga na kwenda katika mukutano uliyofanyika kata ya chitete |
|
| Hapa baadhi ya wafanyabiashara wakielekea eneo la mkutano baada ya kulazimishwa kufunga biashara zao |
Kwa Hisani Ya Mbeya Yetu


