Monday, August 20, 2012

Mwili Wa Alfred Mbogora Wasafirishwa Kwenda Musoma Tayari Kwa Mazishi.



 


Mamia ya Waandishi wa habari leo wamejitokeza kwa wingi kumuaga mwandishi mwenzao Alfred Mbogora aliyefariki juzi katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua ghafla, mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Musoma.