.
Picha ya liblary.
Matokeo ya Taifa Starsna Botswana kwenye mechi iliyochezwa jana ni 3-3 ambapo mpaka kwenye mapumziko game ilikua 2-2.
Stars ilikua ya kwanza
kupata goli kupitia kwa Erasto Nyoni dakika ya 17 kwa njia ya penalty
iliyotokana na mwamuzi kutoa adhabu baada ya beki Oscar Obuile wa
Botswana kumuangusha Mrisho Ngasa.
Botswana walisawazisha dakika
ya 26 kupitia kwa Lemponye Tshireletso nje ya eneo la hatari kumshinda
nahodha wa Taifa Stars, Juma Kaseja lakini dakika tano baadae Mwinyi
Kazimoto aliifungia Stars goli la pili kwa shuti la mbali pia.